Audio: Raph Tz ft. Wynem & Baby Boy - Hisia Zangu

Hii hapa ngoma nyingine ya Raph Tz inaitwa "Hisia Zangu", alifanya na Wynem na Baby Boy ndani ya Kali Nation Studio kwa Jaysson.
Wynem aliwahi kutamba na ngoma yake Mwanambuzi, pia ngoma mbili "Maumivu" na "Japo Kidogo" alizofanya na Linex Sunday Mjeda.
Baby Boy alianza kujulikana katika wimbo wa "One Love" aliofanya na Steve RnB.

0 comments: