Audio: Raph Tz ft. Jordan Kanyongakitu & Wynem - Kauli Safi
Hii hapa ngoma ya pili kufanywa na Raph Tz kabla ya hizi zinazotamba sasa. Pia nayo ilifanywa na Jaysson Keyz chini ya Kali Nation Studio.
Ujumbe tosha katika Maisha upo humu, ni KAULI SAFI mwanzo mwisho.....
Ujumbe tosha katika Maisha upo humu, ni KAULI SAFI mwanzo mwisho.....
Amefanya na Wynem na Jordan Kanyongakitu.
Jordan ameshatamba na ngoma zake kadhaa kama vile Mapenzi ni Vita n.k.
0 comments: