New Video: Diamond Platnumz ft. Robby Jones - Umenivutia
Hii hapa video ya mnyama Diamond Platnumz akiwa na bishoo himself Robby Jones.
Ushawahi kuiona?
Pause kidogo, vuta pumzi then fanya yako kwa fasi ya ndichi, naamini Bongo Focus ndo ya kwanza kukufanya uenjoy good melodies na mtazamo mzuri kwako.
Pia ndani yumo mamaa mavokaliiiiii she goes by the name of miss Enomic de Fettie herself.
Pia ndani yumo mamaa mavokaliiiiii she goes by the name of miss Enomic de Fettie herself.
Fanya kuingia Bongo Focus ucheck.
....is GOLD.
0 comments: