New Audio: Miracle - Naelekea Ikulu (Prod. Duke)

All the way from AJ Records, mzigo umefanywa na Duke, na ngoma inaenda kwa jina la "Naelekea Ikulu"
Miracle kutoka CMA ndo kafanya yake humu ndani.
Pia ni moja kati ya ngoma zitakazokuwa katika mixtape ya "The Element II" ya Dom Down Click "DDC"

0 comments: