Gazeti la Nipashe Lasema: Tundaman Atoa Tafu Dodoma, Ndani ya "JIPANGE" ya Raph Tz

Msanii Tundaman atoa shavu kwa msanii Raph Tz kutoka Dodoma kwa kushiriki vema katika wimbo wake unaokwenda kwa jina la Jipange. Pia humo ndani yupo "Darasa' a.k.a Mr Sikati Tamaa.
Chanzo cha Habari: 
Gazeti la NIPASHE, Ukurasa 14

0 comments: