Show ya Nash Mc Chuo Cha Bandari, Tandika 19.10.2014
Ile show inayotarajiwa kufanywa na Nash Mc iko mbioni kabisa, zimebaki siku chache, jaribu kupata tiketi yako mapemaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Itakuwa ndania ya viwanja vya Chuo cha Bandari, Tandika Dar es Salaam wilayani Temeke kwa mtonyo wa Buku 3 Mapemaaa, na Buku 4 wale wa Mlangoni.
Kama unapenda hiphop na upo Dar au unategemea kwenda Dar hivi karibuni, hii inakuhusu.
ZIMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
0 comments: