Audio: Brezy ft. One Six - Bello Lonely

Ukitaka kufaham kuwa wasanii wanatoka mbali katika harakati za kutafuta mafanikio, basi Brezy Chocolate a.k.a Baba Lao au Brezy wa Rey nae ameanza mda katika harakati za mziki wake.
Brezy ndo msanii wa kwanza Dodoma kushow love na kuamua kutumia staili na flow kama za Mr Blue a.k.a Babylon Bayser wa BOB na kufanya poa kama vile unamsikiliza Blue mwenyewe.
Akiwa na One Six, ngoma inaitwa Bello Lonely, ilifanywa na Double a.k.a Mnyama kipindi hicho ndani ya Long Maise Records.

0 comments: