Audio: Rhodah - Sikutaki

Dom na Moro kote pande zake na anafanya kazi ya music kwa ari zote. Ingawa anatokea Dom, ila mara nyingi huwa yuko Moro akifanya muziki na mambo mengine.

Anaitwa Rhodah na hii hapa ngoma yake inaitwa "Sikutaki", imefanywa na Fanuster pale High Music Records.

Fanya kusikiliza wadada wanavyokuja kasi

0 comments: