Audio: Big Born 90 ft. Ainea - Today
Hii hapa ni moja kati ya ngoma kali ambayo ameshirikishwa jamaa aliyetamba na kibao cha "Sina Mpango Nae", Ainea.
Ngoma inaitwa "TODAY" ya Big Born 90 na imesimamiwa na Eck pale Eck Production, Makulu, Dodoma.
Kama unakumbuka Big Born anazo ngoma nyingine kali zikiwemo Mama Africa, Love Love na nyingine kibao.
Na Ainea ni msanii mzuri. Sasa fikiria muunganiko huu wa hatari umeleta kitu.
Fanya kusikiliza, download halafu share na jamaa na fans wooooooooooooote.
0 comments: