New Audio: Chid Benz - Kimbiza

Katika watu wanaofanya hiphop nzuri Tanzania basi Chid Benz ni mmoja wapo.

Alikaa kimya mda mrefu, lakini ameamua kuachia mkwaju mmoja wa kuwakimbiza.

Hii hapa ngoma mpya kabisa ya huyu mjamaa toka Ilala, inaitwa "KIMBIZA", imefanyika pale Kili Records kwa C9.

Mpyaaaaaaaaaaaaaaaaa

0 comments: