Video: Rhodah - Nimeonja

Rhodah ni mmoja kati ya wadada wanaofanya na kuja vizuri katika Bongofleva.

Hii hapa video ya wimbo wake iliyofanywa na Obed Spilu wa M.O.S Pictures.

Wimbo huo ulitengenezwa na Candy pale Moro Town Records.

0 comments: