Video: Shaa ft. Redsan - Njoo

Hii hapa moja kati ya video kali sana za Bongofleva, imefanywa na Enos Olik.

Wimbo unaitwa "Njoo" humo ndani ameshirikishwa Redsan, na audio yake ilitayarishwa na Maco Chali wa MJ Records.

Good Music right here.






0 comments: