New Video: Benah - Mbali Nami (Dir. Pablo @D360 Videos)

Kama ushawahi kuangalia video nzuri basi hii hapa ni moja kati ya hizo na ni video inayoendelea kufanya vizuri sana katika televisheni ikiwemo Clouds Tv na Channel 5 (EATV). 
Imefanywa na Pablo chini ya D360 Videos.

Jamaa anaitwa Benah, wimbo unaitwa "Mbali Nami" 



Hebu angalia wewe mwenyewe video hii hapa chini, kuanzia audio hadi video vyote vimekaa sawia.
Give him support.


0 comments: