New Audio: Adam Shule Kongwe - Shabiki

Hii hapa ngoma kutoka kwa mkali anayewakilisha kundi la Dom Down Click (DDC), Adam Shule Kongwe iliyofanywa ndani ya AJ Records na mtayarishaji Duke Tachez.

Ngoma inaenda kwa jina la "SHABIKI" na ni moja kati ya ngoma itakayokuwa katika "The Element II" ya DDC.

Kama utakumbuka, Adam ashafanya ngoma inayokwenda kwa jina la "Dodoma" aliyofanya na marehem Remmy Ongara.

0 comments: