New Audio: Big Born 90 ft. Subamkole - Love Love

Ukisikia Big Born 90 basi watu watakuelewa sana kwa mtindo ambao huyu jamaa anatumia kufanya mziki wake wa Bongo Fleva, huwa hachagui aina ya muziki na huwa anamudu kila sehemu anayofanya kwa uhakika.

Hii hapa ngoma akiwa na Subamkole inakwenda kwa jina la "Lovelove".

Kutoka katika studio za 4 Real Music za jijini Dar es Salaam.

Ilitoka muda kidogo, japo kwa sasa Big Born ameachia ngoma yake mpya iitwayo "Mama Africa" aliyofanya pale BIORN Production, Maili 2, Dodoma.

0 comments: