New Audio: Brezy Chocolate ft. Malisam - Mama Lao
Mkali wa miondoko ya kuchengua mabinti kwa stage, Brezy Chocolate ama Brezy Kinyangoroka afanya bonge la ngoma liendalo kwa jina la "Mama Lao" ndani ya Chapakazi Records. Ngoma hiyo pia yupo jamaa aitwae "Malisam" na imefanywa na Kimambo Touches.
Brezy pia anategemea kufanya kichupa cha ngoma hiyo chini ya kampuni iitwayo After DayLight Films iliyoko chini ya Raph Tz na Erick Backamaza.
Hii hapa ngoma yenyewe
0 comments: