Audio: Rotten Blood - Hapakaliki

Vijana wakali kutoka Arusha, Myson Artist na Rospee waamsha popo ndani ya G Sound Records hadi "HAPAKALIKI".
Producer wa studio hiyo, Double, nae aleta shida kiasi cha kuwagongea beat inayopasua spika za subwoofer.


0 comments: