New Audio: Gaibo ft. Sometimes - Nisamehe

Inasemekana huyu ndo msanii aliyeanza kufanya staili afanyayo Young Killer, mana hata ukisikiliza lafudhi ni kama zinafanana.
Ngoma inaitwa Nisamehe, na jamaa anakwenda kwa jina la Gaibo, mpango mzima umesimamiwa na Double wa G Sound Records na kunogeshwa ktk kiitikio na jamaa anayejulikana kwa jina la Sometimes Memo.
Hii hapa and enjoy.


0 comments: