Audio: M2 Benga - On Air
Hili ndo kundi linalosemekana kudumu muda mrefu kwa pamoja ktk mziki. Wanatokea Dodoma, Bosscore Flow na Mdosi wa Area C, na pini inakwenda kwa jina la "On Air", harakati zimenukishwa kwa mzazi Double pale G Sound Records, Kisasa Dodoma.
On Air ni kati ya ngoma zinazopigwa sana nje ya Dodoma.
0 comments: