New Video: KG Squad - Tumerudi

Video ya KG Squad, Tumerudi, iliyofanywa na muongozaji Erick Backamaza yaachiwa rasmi. KG Squad ni moja kati ya makundi matata sana mjini Dodoma, likiunganisha vijana Bosscore Flow, Mdosi wa Kitaa, Tumakili na R Brown.
Audio ya ngoma hiyo ilifanyika pale B1 Records chini ya mtayarishaji Kidman.
Dom City Stand Up


0 comments: