Johari: Sitaki Kusikia Habari za Chuchu Hans

Johari: Sitaki Kusikia Habari za Chuchu
     
    STAA wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘ Johari’ amesema kwa sasa hataki kabisa kusikia habari za mwigizaji, Chuchu Hans ambaye wamekuwa wakitifuana mara kwa mara wakidaiwa kugombea penzi la Vincent Kigosi ‘ Ray ’ .

    Akikitemea cheche kinasa sauti cha paparazi wetu baada ya kuulizwa kuhusiana na hatma ya malumbano yao ya mara kwa mara na Chuchu, Johari alisema hataki kumzungumzia mwanadada huyo kwani anampaisha bure . 

    “Nimeamua nikae kimya kabisa wala sitaki kuzozana na mtu nitajishushia hadhi kwa mashabiki wangu bure , siwezi kuwa namnufaisha mtu kwa kumpandisha daraja kupitia mgongo wangu kutokana na malumbano, ” alisema Johar

    0 comments: