New Audio: Amaselly ft. Mesen - Unavimba

Hii hapa moja kati ya ngoma nzuri ya Amaselly, imefanywa na Mesen Selekta pale Defatality Music.

Ngoma inaenda kwa jina la "Unavimba", Mesen pia ameshirikishwa humo ndani.

0 comments: