New Audio: Geez Mabovu - Story

Hii hapa mpya kabisa kutoka kwa Geez Mabovu inaitwa "STORY"

Geez Mabovu ametangulia mbele za haki jana Jumatano 12.11.2014 na hii ni moja kati ya ngoma zake zilizokuwa studio tayari kwa kuachiwa.

0 comments: