New Audio: Navy Kenzo - 1 Dollar 1 Day

Ngoma mpya kabisa kutoka kwa Navy Kenzo yani Nahreal akiwa na mpenziwe, Aika, inaitwa "1 Dollar 1 Day" ikiwa imefanywa na Nahreal mwenyewe.

Pia Navy Kenzo wameshawahi kutamba na ngoma nyingine inayokwenda kwa jina la "Chelewa"

Enjoy

0 comments: