New Audio: Nay wa Mitego - Akadumba

Kila siku Nay wa Mitego ameendelea kufanya vizuri katika mziki wake na kukubalika kwa kila ngoma afanyazo.

Baada ya Nakula Ujana na nyingine nyingi, "AKADUMBA" ni ngoma mpya kabisa, ikiwa imefanywa pale Free Nation kwa Mr T Touch.

0 comments: