New Audio: Andre K - Cha Juu (Prod. Duke)

Kutoka katika mixtape ya Element Vol. II ya Dom Down Click (DDC) ambayo inategemewa kutoka rasmi tarehe 29.11.2014, hii hapa ngoma inakwenda kwa jina la "Cha Juu"

Mzigo umefanyika AJ Records chini ya Duke Touches, na mwenye ngoma anajulikana kwa jina la Andre K.

0 comments: