New Audio: Bonta Conscious ft. G Nako - B3

Hii hapa ngoma mpya ya Man of Conscious, Bonta himself akiwa na G Nako.

Watayarishaji wawili wakali, Q The Don na Chizain Brain kwa pamoja wamepika bonge la ngoma la collabo ya wajanja wawili kwa jina la B3.

0 comments: