Video ya Ali Kiba "Mwana" Yabuma?!

Baadhi ya mashabiki wengi wa mkali wa bongofleva Ali Kiba, ambae ni mhamsimu mkubwa wa Diamond Platnumz 'Dangote' wamekuwa mabubu na vipofu wa kutoweza kuongea na kuona video ya "Mwana" ya Ali Kiba ambayo ilisemekana kutoka siku si nyingi.

Watu wengi wamekuwa wakisubiria video hiyo hasa baada na kufurahishwa na ujio upya wa Ali Kiba na "MWANA"



Japo kumekuwa na tetesi za ujio wa video kuwa haitafanyika Afrika na inaweza ikaanza mwezi huu ingawa kampuni ya kufanya hiyo video bado haijajulikana, lakini inaonekana kama imebuma na kuna uwezekano kusiwepo kwa video hiyo.


Ushawahi kuisikia nyimbo yenyewe?
Ilifanywa na Man Water pale Combination Sound.
Hii hapa


0 comments: