New Audio: MD Plant ft. M-Rap & Country Boy - No Love

Hii hapa ngoma mpya toka kwa MD Plant imefanywa na Paul Loops na Chizain Brain pale B Records.

Humo ndani wameshirikishwa Country Boy na M Rap, na mzigo unaenda kwa jina la "No Love"

0 comments: