Uzinduzi wa Video ya "Kupanda na Kushuka" Kesho J'Mosi Tar 8.11.2014

Ile video iiliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki ya wimbo "Kupanda na Kushuka" wa Nikki Mbishi, Songa na One Incredible wakiongozwa na komando Lady J Dee itazinduliwa rasmi jumamosi ya kesho pale MOG Bar & Restaurant, zamani Nyumbani Lounge.

Uzinduzi utaanza mida ya saa 3 usiku ukiongozwa na Dj KVelli toka Marekani na Dj BarbieTh kutoka Kenya.

Kiingilio ni Buku 5 Tu



0 comments: