New Audio: Shilole ft. Abdu Kiba - Bata Batani

Kabla ya wimbo "Namchukua" haujafika mbali, Shishi Baby mamaa Nuh Mziwanda ama Shilole kama anavyojiita ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la "Bata Batani" aliyomshirikisha Abdu Kiba.

Ngoma imefanyika pale Mazuu Records.

Enjoy


0 comments: