New Audio: Sniper ft. Double - Mkali Wao

Kama ushawahi kusikia kazi za G Sound Records chini ya Double a.k.a Mnyama au The Doctor basi hutokuwa na shaka kwa kila ngoma inayotengenezwa kwake.

"MKALI WAO" ni moja kati ya ngoma kali aliyofanya Double, akimfanyia jamaa kutoka Moro, Sniper, huku kiitikio akikaa Double mwenyewe.



G Sound Records mwanzoni ilikuwa Dodoma pande za Kisasa lakini kwa sasa imehamishiwa Ifakara, Morogoro.

Dizaini kama Sniper anafuata nyayo za Young Killer na Stamina na ye ndo MKALI WAO pande za Ifakara, Morogoro.

Huyu hapa msikie


0 comments: