Siri Nzito Kuachwa Masogange: Kumbe Gogo
Wakati mwanadada Agness a.k.a Masogange aliyewika katika video ya Msambinungwa akionekana kuwa na umbo matata katika muonekano tofauti wa picha na uhalisia, taarifa za siri zimevuja kuwa kwenye suala la mapenzi si mtundu na ndiyo kisa kinachomfanya kuachwa kila kukicha.
Taarifa zinasema kwamba wanaume wengi wamekuwa wakimtaka kimapenzi na kuwa nae ndo wamekuwa wakisambaza taarifa hizo kwa kudai kwamba kitandani hamna kitu licha ya kuonekana binti mwenye maneno mengi na mtundu kimaongezi.
Mmoja wa jamaa alisikika akisema, "Tatizo la wasanii wa Bongo wanajiona mastaa hadi kwenye mapenzi, na wengine hata hawampi ushirikiano mwanaume eti ukiuliza unajibiwa, MIMI NI STAR, ujinga mtupu"
Habri zimeendelea kudai kuwa wasanii wenye majina hasa warembo wamekuwa wakiachwa kila kukicha kwani si wasafi na wengine wamekuwa na tabia ya kuwaibia wanaume wanaotoka nao.
Angalia picha kadhaa za Agness Masogange katika muonekano tofauti.
0 comments: