New Audio: Tribo ft. Spince Seseme - Maneno

Hii hapa ngoma mpya kabisa imefanyika pale Prexity Records kwa Zest Mkali.

Ngoma inaitwa "Maneno", ya Tribo akimshirikisha Spince Seseme.

Kama unamkumbuka Spince ashafanya nyimbo kadhaa na Ali Kiba. Unadhani kafanyaje humu?

Sikiliza

0 comments: