Producer Bello Bin Laden Asema Yeye Ndo Meneja wa One Six, Miracle, Teidy Wizzy, n.k

Mtayarishaji wa midundo anayetamba mjini Dodoma kwa kutayarisha kazi za wasanii kibao wa kizazi kipya, Charles Makoi a.k.a Lil Bello bin Laden a.k.a KICHWA afunguka na kusema watu waliopo chini yake.

Amewataja wasanii Miracle, Teidy Wizzy na One Six pamoja na mkali wa media Robby Mgaya kwamba ni baadhi ya watu waliopo chini yake na ye ndo meneja kwa mambo yote wanayoyafanya.

Bello amesema hayo baada ya kuhojiwa na Bongo Focus nje ya studio za AJ Records, Area C, Dodoma, siku ya jumapili ya tarehe 16.11.2014.

Msikie Bello katika video clip hapa chini.

Ha ha ha Mr MIDUNDO......KICHWAAAAAAAAAAAA




0 comments: