New Video: Meda - Barua Kwa Diamond

Kama unataka kusikia Meda anasema nini kwa Diamond, basi video hii itakupa habari.

Video imefanywa na jamaa anaitwa Nicklass, na wimbo unaitwa "Barua kwa Diamond" ya MEDA.

Audio ilifanyika Sempamba Music

0 comments: