Nuh Mziwanda Asema Hatokuwepo INTERCOLLEGE BASH Dodoma, Matei Lounge Leo Ijumaa 14.11.2014

Msanii wa kizazi kipya ama bongofleva kama ilivyozoeleka, Nuh Mziwanda a.k.a Baba Shishi amesema kuwa hatokuwepo katika show ya "INTER-COLLEGE BASH" ambayo inategemewa kufanyika leo pale Matei Lounge, Area D, Dodoma.

Kwa sababu alizozisema kwamba hakukuwa na makubaliano mazuri baina yake na waandaaji wa onyesho hilo. Hata hivyo ameomba radhi kwa mashabiki wake, alipenda kuwepo lakini mazingira hayajakaa sawa.

Nuh amesema hayo katika akaunti yake ya facebook.


0 comments: