New Video: Shentee the Don & Jr Ambary Mafia - Ghetto Anthem

Hii hapa nyingine kutoka After DayLight Films, video imefanywa na Erick Backamaza ya jamaa wa kutokea SOWETO Ndani kwa Ndani, Dodoma.

Ngoma inaitwa "Ghetto Anthem" ya jamaa wawili wa kuitwa Shentee the Don na Ambary Mafia Junior.

Audio ilifanywa na Abuu pale AJ Records.


Video Director Erick Backamaza












Hii hapa video yenyewe


0 comments: