Ile remix ya wimbo "NISEME" ya Mkubwa na Wanawe (Yamoto Band) imetoka na ianzidi kutamba na kupendwa katika simu nyingi za wadau wa mziki.
Jamaa wanaitwa Kili Boyz kutoka Kilimanjaro a.k.a Yesu na Wanawe na wimbo unaitwa "Niseme a.k.a Yesu"
Enjoy ubunifu
0 comments: