New Video: Timbulo - Nakumiss
Kama umeshawahi kuangalia video kaliiii zenye rangi zilizotulia basi "Nakumiss" ya Timbulo ni moja kati ya hizo.
Muongozaji wa video hiyo hakuweka hata neno moja la kujitambulisha lakini kwa uzuri wa video, yenyewe inajitambulisha.
Audio yake ilifanyika studio za Mazuu Records na pia One Music.
Yani ni bonge la ngoma, daaaah Timbulo amefanya poa sana
Yani ni bonge la ngoma, daaaah Timbulo amefanya poa sana
0 comments: