New Video: Vumbe - Dunduliza

Hii hapa video mpya kabisa ya wimbo unaitwa "DUNDULIZA" jamaa anaitwa Vumbe.

Video imefanywa na KyonaBoy Video Production.

KyonaBoy pia ameshawahi kufanya video ya Miracle ft. Rose "Nikuite Nani" na Shentee the Don "Tick Tock"

0 comments: