New Video: Young Killer ft. Belle 9 & Fid Q - 13

Kama ushawahi kuangalia kazi ambazo huwa zinafanywa na muongozaji NISHER basi utaamini kuwa huwa anafanyaga poa sana kuandaa video za wasanii Tanzania.

Hii hapa video mpya kabisa ya wimbo "13" ya Young Killer akiwashirikisha Fid Q na Belle 9.

Kama unakumbuka, audio yake ilifanywa pale Bongo Records chini ya watayarishaji wanne akiwemo P Funk Majani mmiliki wa studio hiyo.

0 comments: