New Audio: Chally Plow ft. Linex - Change

Hii hapa ngoma mpya kabisa toka studio za Mavoltage Records iliyofanywa kibabe na mtayarishaji Mohna the One.

Ngoma inaitwa "CHANGE" imefanywa na Chally Plow akimshirikisha Linex a.k.a Sunday Mjeda.

0 comments: