New Video: Mr Blue - Pesa

Japo imechelewa ila bado ipo katika chat nzuri.

Ni video mpya na ngoma iliyotamba sana "Pesa" ya Babylon Bayser ama Mr Blue kama ilivyozoeleka.

Video imefanywa na AJ ama Adam Juma.

0 comments: