New Video: Diamond Platnumz - Nitampata Wapi

Fanya kuangalia video ya wimbo mpya wa Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote unaokwenda kwa jina la "Nitampata Wapi?"

Video ya wimbo huo imefanyika nchini Afrika Kusini chini ya kampuni ya Godfather Productions.

Ukiacha "Mdogo Mdogo", hii ni video ya pili, Dimaond akifanya chini ya kampuni hiyo

0 comments: