Je, Wajua Hata Wasanii Wakubwa Huomba Show Fiesta?!

Mashabiki wamekuwa wakidhani kwamba wasanii wakubwa huwa wanatafutwa na waandaaji wa TAMASHA kubwa la muziki linalofanyika kila mwaka nchini chini ya Prime Time Promotion na Clouds Media Group, FIESTA, kumbe lol...ni tofauti kabisa.

Inasemekana ni wasanii wengi wamekuwa wakiomba kufanya show hizo hata bure kwa kwenda moja kwa moja kwa mkurugenzi wa Clouds, Ruge Mutahaba au kujirekodi sauti au video na kumtumia kibopa huyo aliyeshika vizuri nyendo na harakati za mziki wa kizazi kipya.



Hii imedhihirishwa na baadhi ya wasanii kwa pamoja wakionekana kulia njaa kuomba kufanya show ya FIESTA bila kujali kama watalipwa au la.

Peter Msechu na Baba Levo kwa pamoja wakiwa katika pikipiki a.k.a bodaboda walijirekodi miezi kadhaa kabla ya tamasha la FIESTA kufanyika.

Hii hapa angalia


0 comments: