Video: Professor J ft. Diamond Platnumz - Kipi Sijasikia

Hii hapa video ya wimbo "Kipi Sijasikia" ya gwiji wa hiphop Tanzania, Professa J akimshirikisha sukari ya warembo, Chibu Dangote ama Dimaond Platnumz.

Video imeongozwa na Adam Juma na audio ilifanywa pale Bongo Records kwa P Funk Majani

0 comments: