Video: Shetta ft. Diamond Platnumz - Kerewa

Kati ya video kali za Shetta ambazo aliwahi kufanyiwa basi "KEREWA" ni namba moja. Video ilifanywa na kampuni ya Godfather toka Afrika Kusini.

Ndani ya ngoma hiyo ameshirikishwa Diamond Platnumz na video ilidhaminiwa na DSTV.

0 comments: