Hii hapa moja kati ya video kali iliyofanywa na KyonaBoy, ya jamaa wa kutokea SOWETO Ndani kwa Ndani kwa jina la Shentee the Don, ngoma inaitwa "TICK-TOCK"
Ilitoka miezi kadhaa lakini si mbaya tukiiweka humu na watu waone jinsi Kyona alivyoonyesha umahiri wa kufanya kazi hii.
0 comments: