Audio: DDC - Kaa Kushoto

Hii hapa moja kati ya ngoma za Dom Down Click (DDC) kutoka Dodoma, mzigo unaitwa "Kaa Kushoto" na umesimamiwa na Bello pale AJ Records

0 comments: